Download | Freshley Mwamburi Stela | Mp3 Audio

stella wangu freshley mwamburi

Download | Freshley Mwamburi Stela | Mp3 Audio

Related Song: Uncle Konaya Merimela

Ghafla ndege lipotua uwanajani tuliona vituko
Stella alishuka amebeba mtoto mkononi
Nyuma yake mchumba wake mfupi
Futii nne Mjapani

Nilisikitika ndani ya moyo
Nikakosa la kufanya
Nilitamani nilie Kikamba lakini sikijui
Ilibidii nilie Kijaluo” angatima ngo wachoa”, Freshley
Nilitamani nilie Kihindi lakini sikijui
Ilinibidi nilie Kitaita lugha ya mama na baba
Ilinibidi nilie Kitaiata
“Beke mwana niponyebanda, Freshley”

download 2020