Download | Anjella ft Harmonize Toroka | Audio
RELATED: Anjella Ft Harmonize Kama
Noted lyrics:
Wapo kama sita kila mmoja ana kreti
usije ukawaita kama hauna bajeti
utasema cardB alivyojidabika mapoda
hata maji halipiii waiter muongeze na soda
oya we sikia demu akipenda penda sana bia we changanya na kiroba
asubuhi atakuta ameshafii….kishwa kwao na tayari yuko sobaa
Tunatoroka tunatoro
Tukishalewa
Tunatoroka tunatoro
Hilo kojo limekuganda
Tunatoroka tunatoro
Stim zishakupanda
Tunatoroka tunatoro