Home Audios Je Bado Unatumia App Yetu? Au Hauna Kabisa?

Je Bado Unatumia App Yetu? Au Hauna Kabisa?

Kwa Siku Za Hivi Karibuni App yetu Ilitoweka PLAY STORE kwa Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wetu.

Kwa wewe mpenzi wa Website yetu ya Burudani, Tunapenda Kukutaarifu kuwa Tuna App Yetu Mpya ,, Hivyo Basi futa App Ya ZAMANI harafu Pakua / DOWNLOAD hii Mpyaa.:

1: Kama Hutumii App Basi tunakuomba Upakue App yetu Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi na pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.

FAIDA za APP hii Mpya:

(i) Utaweza Kusikiliza Redio Bure

(ii) Utatumiwa Taarifa kwa haraka Pindi Tunapoweka Wimbo Mpya

(iii) Utaweza Kusoma Lyrics Bila DATA

(iv) Kudownload Bure

PAKUA APP YETU MPYA HAPA

Tunaomba Radhi Kwa Usumbufu Uliojitokeza, Tunathamini sana Uwepo wako wewe Mtembeleaji Wetu.

 Asante.