Home News CHA JUU BOOST | Nyingine BABKUBWAH! Kutoka BETIKA! | Pata Zaidi Kila...

CHA JUU BOOST | Nyingine BABKUBWAH! Kutoka BETIKA! | Pata Zaidi Kila UnapolambaMZIGO |

Betika imekuja na tafu jingine kubwa la CHA JUU BOOST ambapo tafu hili  la kibingwa limekuja mahsusi kukuongezea nafasi  ya kupigia mkwanja zaidi kila unaposhinda huku udambwi dambwi wote huu ukiulamba kwa  dau lile lile kiduchu la kuanzia shlingi 100 tu.

Mambo si ndiyo haya Bingwa? mchezo umekaa ki utamu!

Unachezaje?

Umejisajili? Kama tayari basi hapo ndipo penyewe panaponoga shikilia hapo hapo. Chakufanya, wewe bofya  katika website ya www.betika.co.tz kisha zama CHA JUU BOOST na uanze kutengeneza ushindi wako huku ukizichanga kete kibingwa kama ilivyo jadi yako.

Na vile vile kama  hujajisajili usiwe na hofu kabisa maana nafasi yako bado ipo, unachotakiwa  kufanya ni kujisajili chap chap ili usipitwe na uhondo huu.

Zoezi la kujisajili linachukua muda mrefu?

Hapana zoezi hili la Kujisajili ni simpo tu na halichukui hata sekunde moja kukuwezesha kuzama ndichi ndani ya familia kubwa ya mabingwa ili  uanze kufaidi ushindi wenye ujazo BAB KUBWAH!! Ndani ya CHA JUU BOOST inayopatikana BETIKA pekee.

Kujisajili bofya  https://www.betika.co.tz/

Tafu hili ni uthibitisho kwamba ni kweli tofauti ya mchezo imeletwa na BETIKA! Pata zaidi kila unaposhinda kupitia CHA JUU BOOST inayopatikana Betika pekee na jingine muhimu sana nikutonye ni kuwa pale unaposhinda malipo ni fasta kama upepooooo!

 

BETIKA SASA.

Pakua App Yetu PlayStore HAPA Kwa Sasa Tupo Instagram Pia. ...