Rayvanny Ft Messias Maricoa Teamo

rayvanny ft messias maricoa teamo

Rayvanny Ft Messias Maricoa Teamo

RELATED: Rayvanny Naogopa

Teamo Noted Lyrics:

Mm, namshukuru Mola kanijalia
Mrembo wa sura hadi tabia
Nina kila sababu ya kujivunia, yeah
Yani kila kona umetimia

Napenda manukato ukinukia
Ukinigusa ndo nazimia, yeah
Yani kama ndege na wanae
Tuogelee na tupae
Kwenye kiota tukakae mi nawe

DOWNLOAD Mp3

Related Songs From Rayvanny: