Download | Karen Tabu | Mp3 Audio

karen tabu

Karen Tabu

Welcome back, It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Tabu mp3 Download by Karen. Enjoy!

RELATED: Chemical Ft Karen – Unanifaa 

Karen Tabu Lyrics:

Ukija niacha moyo wangu Nitaumia sana mie
Ndomana nikikuona mwili wote unanitutusika eeh
Kua nawe sina hakika ,utaniua wee!
Mi kunipa pendo lako
Kwangu imekua kama njozi,hata pale tufikapo
Amini naumwa homa!
We sio wa sampuli wala samplekwangu umekua kama dozi,
Hata pale niangukapo,Awe unaniinua savipi ukiniacha

[CHORUS]
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu!
Me nitapata tabu oooh tabu

Listen to Karen Tabu

DOWNLOAD MP3

More Songs From Karen: