Home Audios Download Audio: Tunulaus – Ndoa

Download Audio: Tunulaus – Ndoa

TUNUNU ENTERTAINMENT PRESENT Wimbo Huu ni wimbo Unaoimbika kwenye Tafrija kama HARUSI, SENDOFF na KICHENPART ,,

Pia wimbo Huu ni Wimbo ambao umebeba hisia za Mapenzi ndani yake ambao Unaweza ukamwimbia Mpenzi wako ,Mchumba wako na Mkeo Pia ni wimbo uliobeba maudhui ya Shukrani ,,, NDOA NDOA NDOA Ni sehemu ya pekee Sana kwenye Maisha ,,,

Lyrics Video