Home Audios TAFADHARI UPDATE: YINGA MEDIA Android APP

TAFADHARI UPDATE: YINGA MEDIA Android APP

Tafadhali kama una App yetu ya Yinga Media na unapata Tatizo la kutoziona nyimbo Mpya Basi fuata Maelekezo Yafuatayo.,

1: Nenda Play Store , Tafuta “Yinga Media” harafu Bonyeza Install au Bonyeza Update..

Baada ya App kumaliza Ku-update/ Ku-install fungua App na utaona Tayari Nyimbo Zimekuja…

Pia Kwa Sasa Utaweza Kupata Taarifa/Notifications Pindi tu Tutakapoweka Nyimbo Mpya.

 

Asante Kwa Kuchagua Yinga Media kama Website yako ya Burudani na Tuwie Radhi Kwa Tatizo lililotokea.

 

Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBOFYA HAPA

 

Loading...

Drop Your Comment Here