Download | Nay Wa Mitego Ft Diamond Platnumz Muziki Gani | Audio

nay wa mitego ft diamond platnumz muziki gani

Nay Wa Mitego Ft Diamond Platnumz Muziki Gani

Nay Wa Mitego has decided to brought us a new song featuring Diamond Platnumz into a song titled as Muziki Gani, listen below.

RELATED: Nay Wa Mitego ft Diamond Platnumz Mapenzi Au Pesa

Muziki gani Lyrics

Hivi nyie ma Mc mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo mziki gani
Hii no hiphop muasisi wa burudani
tunachoshwa kutwa mapenzi kabane pua nyumbani

Hata bibi alinambia mwanamke anahitaji kubembelezwa
kupetipeti matunzo pia ukienda rafu utampoteza
muziki ni mfano wa binti muzuri
na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi

DOWNLOAD MP3

 Related Nay wa mitego Songs