Home results Jinsi Ya Kutumia Yinga Media Kwenye OPERA MIN ya Simu

Jinsi Ya Kutumia Yinga Media Kwenye OPERA MIN ya Simu

Kwa wale ambao wanapata tatizo la kutoona sehemu ya Kudownload Kwenye simu za Android hasa wale Wanaotumia OPERA MIN browser.

Basi Fuata Maelekezo Yafuatayo ili usipate taabu tena ya Kudownload.

Kama Ulivyotazama Hapo juu….

Bonyeza hiyo alama nyekundu ambapo pana namba 1 , Kisha nenda hapo ilipo namba 2 Pameandikwa Ad Blocking, lakini kwa wanaotumia Opera kwa Kiswahili pameandikwa “Kuzuia Matangazo” hakikisha hiyo sehemu kwenye maandishi madogo yanayofuatia yameandikwa “Disabled” Kwa wanaotumia Opera kwa Kiswahili hakikisha pameandikwa “Imelemazwa Baada ya Kufanya hivyo Refresh au Reload tena au Fungua Upya Yingamedia.com Utaona Tayari Picha ya Kudownload Imeonekana na Utaweza Kupakua Kilaini Tuu.

Au Tazama Maelekezo Zaidi kwenye Hii VIDEO ya hapa Chini